GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa
kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500
Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 = 4,515,000
Bei ya kuuza ni 45,000 mpaka 50,000, Mzigo mwingine anauza Reja reja mwingine Jumla
Huu anaouza rejareja huwa inaangukia mpaka 60,000 yaani faida ni 38500 kwa wiki anaweza
kuuza 5 mpaka 7 hivyo anakuwa na faida ya zaidi ya 192,500..... Huyu mtu anatengeneza faida
kubwa ajabu na biashara yake sijaona TRA ikitia miguu.
WAKUU HEBU TUCHANGAMSHE AKILI HAPA, KWA MILIONI 5 UKIPEWA WEWE UIFANYIE KAZI KWA
3 YRS.... UTAIFANYIA NINI NA UNATEGEMEA KUZALISHA NINI?