Tumekupa milioni 5 ndani ya miaka 3 utakuwa umezalisha kiasi gani?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Nimekaa hapa kwa mfanyabiashara mmoja naangalia jinsi anavyozalisha pesa kubwa
kwa Pesa ndogo. Amechukua mzigo kwa@ 15,000 mpaka kuufikisha imemgharaimu@ 21,500
Thamani ya mzigo wote 210 * 21500 = 4,515,000

Bei ya kuuza ni 45,000 mpaka 50,000, Mzigo mwingine anauza Reja reja mwingine Jumla
Huu anaouza rejareja huwa inaangukia mpaka 60,000 yaani faida ni 38500 kwa wiki anaweza
kuuza 5 mpaka 7 hivyo anakuwa na faida ya zaidi ya 192,500..... Huyu mtu anatengeneza faida
kubwa ajabu na biashara yake sijaona TRA ikitia miguu.

WAKUU HEBU TUCHANGAMSHE AKILI HAPA, KWA MILIONI 5 UKIPEWA WEWE UIFANYIE KAZI KWA
3 YRS.... UTAIFANYIA NINI NA UNATEGEMEA KUZALISHA NINI?
 
Mimi niko huku kanda maalumu Tarime mtaji wangu ni 2 m huwa nazamia nchi jirani kwa kuvuka kwakutumia miguu nachukua bidhaa ambazo Tanzania ziko juu mfano sukari kg 50 napata faida 20000 bado vitu vingine vingi tu na soko ni la uhakika nikifika nashusha na kuchukua changu kwahiyo Mimi naona kubana Kwa serikali ya magu ni frusa Kwangu nyinyi endeleeni kulalama huko mjini Nani aliwambia muishi katikati mtaisoma Namba Sana tu sisi huku tukipenda tunazamia Kwa majirani zetu life inasonga na kuna frusa nyingi tu
 
TAtizo tukihamia wote huko Tarime tutabanana sana Chacha.
 
Mimi niko huku kanda maalumu Tarime mtaji wangu ni 2 m huwa nazamia nchi jirani kwa kuvuka kwakutumia miguu nachukua bidhaa ambazo Tanzania ziko juu mfano sukari kg 50 napata faida 20000 bado vitu vingine vingi tu na soko ni la uhakika nikifika nashusha na kuchukua changu kwahiyo Mimi naona kubana Kwa serikali ya magu ni frusa Kwangu nyinyi endeleeni kulalama huko mjini Nani aliwambia muishi katikati mtaisoma Namba Sana tu sisi huku tukipenda tunazamia Kwa majirani zetu life inasonga na kuna frusa nyingi tu
Mkuu nipe fursa labda na Mimi naweza pata hata ya kulipia chumba cha kuishi.
 
Fursa zipo sana tu tatizo watu hawataki kufunguka yaani Utafiti nilioufanya umenifanya
nigundue fursa nyingi sana. Tuwape nafasi hapa watu wafunguke.
 
Mimi niko huku kanda maalumu Tarime mtaji wangu ni 2 m huwa nazamia nchi jirani kwa kuvuka kwakutumia miguu nachukua bidhaa ambazo Tanzania ziko juu mfano sukari kg 50 napata faida 20000 bado vitu vingine vingi tu na soko ni la uhakika nikifika nashusha na kuchukua changu kwahiyo Mimi naona kubana Kwa serikali ya magu ni frusa Kwangu nyinyi endeleeni kulalama huko mjini Nani aliwambia muishi katikati mtaisoma Namba Sana tu sisi huku tukipenda tunazamia Kwa majirani zetu life inasonga na kuna frusa nyingi tu
Kaka nipm nikutafute tufanye biashara
 
Hapo sasa maana wengine wanataka wasome tu michongo ya wenzao.
Yaani muda mwingine ndo maana baadhi ya wadau hawataki kuanzisha nyuzi za kushare michongo maana wengi watapita kimya kimya kama hawauoni. Hao hao wanaoupita ndo wanakuja kulialia hali ngumu.
 
Hiyo biashara ya milioni 4 ni ya nini Mkuu? Pengine tunaweza kujifunza with vivid examples.
 
Ndg kama hutajali ungeweza hizo dondoo za utafiti hapa ili wengine tuchungulie
Fursa zipo sana tu tatizo watu hawataki kufunguka yaani Utafiti nilioufanya umenifanya
nigundue fursa nyingi sana. Tuwape nafasi hapa watu wafunguke.
 
Kuna watu wanaona vifursa walivyo navyo ni rahisi kila mtu kuwa navyo!
Amini nawaambia, hata anayejivuna leo kwa hako kafursa aliko nako kakifa leo anaweza kufikia hata uzeeni hajaweza kutengeneza kengine [emoji38]

Shika sana ulicho nacho!
Wengine wamepoteza hela nyingi hadi kuja kufikia kusimama imara na hizo fursa
 
Wapendwa mimi nawaza kuuza kisamvu kilichochanganywa na karanga maofisini ....niko kwenye utafiti wa mahali pa kupata malighafi hiyp constantly.
 
Mwenye idea zaidi tuboreshe ili wazo tafadhali
 
Tatizo watz wengi tuna roho ya korosho sana,, yaaan kuliko akupe mchongo anaona bora ubaki hivyohivyo
Tatizo la wabongo ni copycats, wavivu na wapenda vitonga na shortcuts.
Hata ukimpa idea bado atataka umwelekeze A-Z, yeye apate hela tu na asipopata lawama zote kwako mpaka anakufa.
 
Back
Top Bottom