Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Nashauri usithubutu kwenda, narudia tena usijipeleke aisee. Mapenzi gani hayo, emu jiulize yaani akupendee wewe wa mtandaoni nakuwa anakutumia pesa bure bure tu!!! huoni pesa & mapz hayo anavitumia kama chambo??? Nafikiri umenielewa...!!!
 
Sema mim nimemuamini kwa sababu ni mdogo, pia tunapochat kupitia video call anakuwa free na hata kama nikimwambia nionyeshe sehemu fulani ya mwili ananionyesha,pia ananionyesha mpaka chuo alipo akiwa darasan ,akienda hostel ananionyesha,akienda beach na marafiki mpaka anawapa na sim wananisalimia kwa video,wawapo matembezini mjini,sjui lakini mimi nahisi mtoto yupo serious na Mimi na yupo in deep love
 
But to me, still hard to accept it. But judgment & final decision still upon you... But take care!!!
 
Back
Top Bottom