Tumekuwa kimya kwa sababu tukizungumza tutaivua nguo CHADEMA

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Kwa muda mrefu madai haya tuliyadai ndani ya chama nikiwa mwenyekiti wa chama na hatukufanikiwa kisawasawa, na tukaona kwa sasa ni kuyaleta kwenye vyombo vya sheria na mahakama ambapo tukaona tutapata haki.

Soma
-CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao
-Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

Katika hili niwaase wanachama wenzangu wa CHADEMA, Wafuasi na viongozi waandamizi, huu mtindo unaotumika na viongozi kujaribu kupinga amri ya mahakama ni kutaka kufunika madai ya viongozi na Wanachama wa Zanzibar juu ya haki ya msingi ambayo tumepeleka katika mahakama,

Hivyo niwaase tutulie tuvute subra tukae tusubiri vyombo vya mahakama tuone namna tunaweza kutoka na niwaambie sisi hatujatangaza vita na CHADEMA, CHADEMA ni chama chetu na tunakipenda, na ndio maana tumekuwa kimya muda mrefu kwa sababu tutakavyozungumza tutakivua nguo chama.

Tumepeleka dai mahakamani ni kukivua nguo chama na bado ni chama chetu tunakipenda tunapigania kuona namna gani tutapata usawa wa Tanganyika na Zanzibar, na siyo kukivunja chama wala kukigawa chama ifahamike hivyo.

Kuna upotoshaji kuwa hawa wametumwa kuna vitu vingi muda wake wa kuvizungumza haujafika sababu shauri lipo mahakamani, kama na sisi tukichukua fursa ya kuzungumza tunaweza kufikisha chama chetu kubaya na sitaki tufike huko sababu bado tunakipenda chama chetu, na shauri hili si la watu wachache bali ni shauri linaoungwa mkono na Viongozi waandamizi wa Zanzibar na wanachama wa CHADEMA.
 
Anasema uongo kwenye mwezi mtukufu lakini huenda ni kiwewe cha kuona kwamba sasa LISU atahusika kwenye kesi. Hasitupotezee muda!
 
Wanataka mgawanyo sawa mbona hawasemi walichochangia.
 
Wana nia njema ndio watake shughuli za chama nchi nzima zisimame? Wasubiri Lissu aingie dimbani
 
Siasa za ki Africa shida sana, huyu jamaa si ndio anataka shughuli za Chama zifungwe?
 
Waivua nguo CDM au wanamvua nguo WEMBO na yeye mwenyewe akiwa kiongozi vibaka wakubwa Matako yao by Sugu
 
No
Kwa muda mrefu madai haya tuliyadai ndani ya chama nikiwa mwenyekiti wa chama na hatukufanikiwa kisawasawa, na tukaona kwa sasa ni kuyaleta kwenye vyombo vya sheria na mahakama ambapo tukaona tutapata haki.

Soma
-CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao
-Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

Katika hili niwaase wanachama wenzangu wa CHADEMA, Wafuasi na viongozi waandamizi, huu mtindo unaotumika na viongozi kujaribu kupinga amri ya mahakama ni kutaka kufunika madai ya viongozi na Wanachama wa Zanzibar juu ya haki ya msingi ambayo tumepeleka katika mahakama,

Hivyo niwaase tutulie tuvute subra tukae tusubiri vyombo vya mahakama tuone namna tunaweza kutoka na niwaambie sisi hatujatangaza vita na CHADEMA, CHADEMA ni chama chetu na tunakipenda, na ndio maana tumekuwa kimya muda mrefu kwa sababu tutakavyozungumza tutakivua nguo chama.

Tumepeleka dai mahakamani ni kukivua nguo chama na bado ni chama chetu tunakipenda tunapigania kuona namna gani tutapata usawa wa Tanganyika na Zanzibar, na siyo kukivunja chama wala kukigawa chama ifahamike hivyo.

Kuna upotoshaji kuwa hawa wametumwa kuna vitu vingi muda wake wa kuvizungumza haujafika sababu shauri lipo mahakamani, kama na sisi tukichukua fursa ya kuzungumza tunaweza kufikisha chama chetu kubaya na sitaki tufike huko sababu bado tunakipenda chama chetu, na shauri hili si la watu wachache bali ni shauri linaoungwa mkono na Viongozi waandamizi wa Zanzibar na wanachama wa CHADEMA.
Kwa muda mrefu madai haya tuliyadai ndani ya chama nikiwa mwenyekiti wa chama na hatukufanikiwa kisawasawa, na tukaona kwa sasa ni kuyaleta kwenye vyombo vya sheria na mahakama ambapo tukaona tutapata haki.

Soma
-CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao
-Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

Katika hili niwaase wanachama wenzangu wa CHADEMA, Wafuasi na viongozi waandamizi, huu mtindo unaotumika na viongozi kujaribu kupinga amri ya mahakama ni kutaka kufunika madai ya viongozi na Wanachama wa Zanzibar juu ya haki ya msingi ambayo tumepeleka katika mahakama,

Hivyo niwaase tutulie tuvute subra tukae tusubiri vyombo vya mahakama tuone namna tunaweza kutoka na niwaambie sisi hatujatangaza vita na CHADEMA, CHADEMA ni chama chetu na tunakipenda, na ndio maana tumekuwa kimya muda mrefu kwa sababu tutakavyozungumza tutakivua nguo chama.

Tumepeleka dai mahakamani ni kukivua nguo chama na bado ni chama chetu tunakipenda tunapigania kuona namna gani tutapata usawa wa Tanganyika na Zanzibar, na siyo kukivunja chama wala kukigawa chama ifahamike hivyo.

Kuna upotoshaji kuwa hawa wametumwa kuna vitu vingi muda wake wa kuvizungumza haujafika sababu shauri lipo mahakamani, kama na sisi tukichukua fursa ya kuzungumza tunaweza kufikisha chama chetu kubaya na sitaki tufike huko sababu bado tunakipenda chama chetu, na shauri hili si la watu wachache bali ni shauri linaoungwa mkono na Viongozi waandamizi wa Zanzibar na wanachama wa CHADEMA.
Wakuivua nguo CHADEMA Nani Chaumwa,ccmA B ama C?Ama COVID 19 mwenye huo uwezo hayupo ndani na nje ya Tanzania zaidi wapo wakuivika CHADEMA kifalme zaidi.Jia hilo na liingie kwenye ajili yako!
 
Amalizie kutumika na CCM halafu watamtupa kama toilet paper .
 
Kwa muda mrefu madai haya tuliyadai ndani ya chama nikiwa mwenyekiti wa chama na hatukufanikiwa kisawasawa, na tukaona kwa sasa ni kuyaleta kwenye vyombo vya sheria na mahakama ambapo tukaona tutapata haki.

Soma
-CHADEMA Zanzibar watoa Tamko, Wasikitishwa na madai ya Said Issa Mohamed kuwa aliishtaki CHADEMA kwa niaba yao
-Pingamizi kesi ya mgawanyo wa mali CHADEMA latupiliwa mbali

Katika hili niwaase wanachama wenzangu wa CHADEMA, Wafuasi na viongozi waandamizi, huu mtindo unaotumika na viongozi kujaribu kupinga amri ya mahakama ni kutaka kufunika madai ya viongozi na Wanachama wa Zanzibar juu ya haki ya msingi ambayo tumepeleka katika mahakama,

Hivyo niwaase tutulie tuvute subra tukae tusubiri vyombo vya mahakama tuone namna tunaweza kutoka na niwaambie sisi hatujatangaza vita na CHADEMA, CHADEMA ni chama chetu na tunakipenda, na ndio maana tumekuwa kimya muda mrefu kwa sababu tutakavyozungumza tutakivua nguo chama.

Tumepeleka dai mahakamani ni kukivua nguo chama na bado ni chama chetu tunakipenda tunapigania kuona namna gani tutapata usawa wa Tanganyika na Zanzibar, na siyo kukivunja chama wala kukigawa chama ifahamike hivyo.

Kuna upotoshaji kuwa hawa wametumwa kuna vitu vingi muda wake wa kuvizungumza haujafika sababu shauri lipo mahakamani, kama na sisi tukichukua fursa ya kuzungumza tunaweza kufikisha chama chetu kubaya na sitaki tufike huko sababu bado tunakipenda chama chetu, na shauri hili si la watu wachache bali ni shauri linaoungwa mkono na Viongozi waandamizi wa Zanzibar na wanachama wa CHADEMA.
Mbona naona kama vile anawashwawashwa.
 
Back
Top Bottom