Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
WamezoeaYanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana.
Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge.
Ni kama hatujiamini. Sielewi tumepatwa na nini.
Toka mo 29 ni kama vile watu wameupotezea mpira wa miguu wa ndani kiaina
Wajitahidi ya nje ya Tz, haya ya ndani tushayazoea japokuwa hatuyashibi na msimu ujao tunabeba tena.Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana.
Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge.
Ni kama hatujiamini. Sielewi tumepatwa na nini.
Wajitahidi ya nje ya Tz, haya ya ndani tushayazoea japokuwa hatuyashibi na msimu ujao tunabeba tena.
Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana.