A Atanandi JF-Expert Member Joined Jul 16, 2023 Posts 341 Reaction score 483 Jul 28, 2023 #1 Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki. Ndugu zangu haya mambo yamekithiri.
Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki. Ndugu zangu haya mambo yamekithiri.
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Jul 28, 2023 #2 Ngoja kwanza nilale
RealixT JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 1,547 Reaction score 2,751 Jul 28, 2023 #3 Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106]
Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106]
Mwanamena JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 1,107 Reaction score 1,360 Jul 28, 2023 #4 Atanandi said: Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki. Ndugu zangu haya mambo yamekithiri. Click to expand... Naamini uko sahihi. Japo siyo wote. Wengi wetu ni hivyo, walevi, wanafiki na uzinzi umetujaa sana.
Atanandi said: Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki. Ndugu zangu haya mambo yamekithiri. Click to expand... Naamini uko sahihi. Japo siyo wote. Wengi wetu ni hivyo, walevi, wanafiki na uzinzi umetujaa sana.
A Atanandi JF-Expert Member Joined Jul 16, 2023 Posts 341 Reaction score 483 Jul 29, 2023 Thread starter #5 RealixT said: Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106] Click to expand... Mda mwingine,nashindwa kumeza tonge na dagaa
RealixT said: Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106] Click to expand... Mda mwingine,nashindwa kumeza tonge na dagaa