Tumekuwa walevi, wazinzi na wanafiki!

Tumekuwa walevi, wazinzi na wanafiki!

Atanandi

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2023
Posts
341
Reaction score
483
Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki.

Ndugu zangu haya mambo yamekithiri.
 
Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106]
 
Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki.

Ndugu zangu haya mambo yamekithiri.
Naamini uko sahihi. Japo siyo wote. Wengi wetu ni hivyo, walevi, wanafiki na uzinzi umetujaa sana.
 
Sio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106]
Mda mwingine,nashindwa kumeza tonge na dagaa
 
Back
Top Bottom