Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza kuzaa matunda.
Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.
Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.
Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.
Nguvu Moja.