Tumemaliza mchezo, goli la 5 tumeshalipata leo asubuhi

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza kuzaa matunda.

Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.

Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.

Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.

Nguvu Moja.
 
Mmeshafuzu huko mlipopatia goli tano ila kama ni game ya leo jiandaeni kwa 2-1
 
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza zimezaa matunda.

Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.

Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.

Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.

Nguvu Moja.
Nchi ina wajinga hii
 
Msisahau kuficha goli wapinzani wasilione..
 
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza zimezaa matunda.

Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.

Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.

Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.

Nguvu Moja.

😂 😂 😂 Dream it possible
 
Radar inasoma kuna mwamba anatupia hatrick ila kila nikim zoom autofocus inafeli

Nyie huko wenzangu mnaonaje?
 
Nimesikia hilo wataachiwa wachezaji wenyewe waamue kwasababu Mzamiru alilalamika yeye hafungagi kwahiyo apewe kama 2 hivi
 
Wazee wamempika manula wiki nzima alikua kwenye mtungi naskia saizi kaiva kaizer chief wakipiga chenga hata wakifika kwenye penalt box goli hawalioni
 
Huoni mbinu zaidi ya kutegemea uchawi.
Ila tunashukuru mikia mmeshatoka.
Amakhosi4life wamevuka viunzi vyote.
 
Back
Top Bottom