Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Nchi ina wajinga hiiWanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza zimezaa matunda.
Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.
Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.
Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.
Nguvu Moja.
Yani wewe hujaelewa kabisaMmeshafuzu huko mlipopatia goli tano ila kama ni game ya leo jiandaeni kwa 2-1
Unakumbuka platinum yule mchezaji wao alikosa goli wazi kwa Mkapa ππMsisahau kuficha goli wapinzani wasilione..
Wanasimba tumefanya kazi kubwa wiki hii kutafuta yale magoli 5 tunayohitaji ili kufuzu na juhudi zetu zimeweza zimezaa matunda.
Baada ya kufanikiwa kulipata goli la nne Bagamoyo jana usiku, leo asubuhi nimepokea simu kutoka Pemba wamenihakikishia kwamba goli la tano limepatikana.
Nafurahi kuwataarifu wanasimba wenzangu hapa JF kwamba mchezo huu tumeumaliza na utakwisha kwa dakika 90 tu.
Ufunguo wa ushindi atakabidhiwa Said Ndemla ambaye anatarajiwa kuanza safu ya kiungo akicheza pamoja na Taddei Lwanga.
Nguvu Moja.
Default ringtone ya huawei hiyoπ π π Dream it possible
Nimesikia hilo wataachiwa wachezaji wenyewe waamue kwasababu Mzamiru alilalamika yeye hafungagi kwahiyo apewe kama 2 hiviRadar inasoma kuna mwamba anatupia hatrick ila kila nikim zoom autofocus inafeli
Nyie huko wenzangu mnaonaje?
[emoji23][emoji23]Nimesikia hilo wataachiwa wachezaji wenyewe waamue kwasababu Mzamiru alilalamika yeye hafungagi kwahiyo apewe kama 2 hivi
Hapo ndipo tunapokosea!!Yani story zote ni uchawi uchawi tu