Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!