Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kiingilio jezi yako ya Timu ya WANANCHIKiingilio bei gani nikawahi VIP.
Ww mbaba mwenye tambi kama fuko..huchokagi kutype...gongowazi wewe?Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC...
Na ndio mabingwa Sasa kwani unatakaje? Ni mabingwa au sio mabingwa?Shida yenu waswahili midomo mirefu mabingwa wa nchi ambao hawajecheza club Bingwa kwa miaka 25...yelewiiii
Ni mapwagu kama mapwagu wengine..Na ndio mabingwa Sasa kwani unatakaje? Ni mabingwa au sio mabingwa?
Nionyeshe utopolo hata mmoja mwenye akili halafu nitakuuwa hapo hapo.Kiingilio jezi yako ya Timu ya WANANCHI
Sasa Kama wao ni mapwagu vipi wale wasindikizaji waliocheza Leo si ndio taka taka kabisa!Ni mapwagu kama mapwagu wengine..
Na wewe ukituonyesha kijana mmoja wa mangungu mwenye akili nitakusajilia manzoki na sio kumleta kwenye uchaguzi na makofi yakapigwa!Nionyeshe utopolo hata mmoja mwenye akili halafu nitakuuwa hapo hapo.
Wwnye akili ni wawili tu pale kwa mazuzu.
Pipa + mfuniko = ?Mechi ya mazuzu
Hahaaa... kweli usilolijua ni usiku wa giza, Ke vibonge tu siyo type yangu kimvuto, ndiyo ije kuwa mimi mwenyewe niwe na kitambi [emoji848][emoji28]Ww mbaba mwenye tambi kama fuko..huchokagi kutype...gongowazi wewe?
Wakae pembeni hii ni Ngoma ya wakubwa, itakuwa aibu wakubwa wanakutana alafu wengine waanze kuleta story za jwaneng mara whdad mara Simba na mpira wao ule utafikiri ni ligi ya Mkoa🤔🤔Nakazia, hawatakiwi hata kuchangia huu uzi.
Hatimae umeji sanua...Hahaaa... kweli usilolijua ni usiku wa giza, Ke vibonge tu siyo type yangu kimvuto, ndiyo ije kuwa mimi mwenyewe niwe na kitambi [emoji848][emoji28]