Tumemaliza salama Kazi ya Ukarabati mkubwa wa nyumba hii, Ikiwemo kubadilisha paa

Changamoto nazo hazikosekani.
Mmoja wa Wapambanaji wetu
Aliangukiwa na Tofali akavunjika mkono mara mbili
Tunamshukru Mungu kwa sasa amepona kabisa.
Ndo changamoto zakazi
Mabosi wetu Msitudharau mafundi
Tunakutana na hatari nyingi ktk kutimiza ndoto zenu.
Ahsanteni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…