Tumemaliza salama Kazi ya Ukarabati mkubwa wa nyumba hii, Ikiwemo kubadilisha paa

Changamoto nazo hazikosekani.
Mmoja wa Wapambanaji wetu
Aliangukiwa na Tofali akavunjika mkono mara mbili
Tunamshukru Mungu kwa sasa amepona kabisa.
Ndo changamoto zakazi
Mabosi wetu Msitudharau mafundi
Tunakutana na hatari nyingi ktk kutimiza ndoto zenu.
Ahsanteni sana.
View attachment 887147
Wakati bosi anatimiza ndoto zake na nyinyi mnatimiza za kwenu pia
 
Duuuuu tangazo lako umelitoa na picha hatua kwa hatua, safi sanaa hii inapelekea hata yule asie na nia aanze kuweka mkakati wa kuhitaji kwasababu mmemvutia na kumshawishi kumbe linawezekana. Hongereni sanaaa, briefly and clear
 
Ahsante Rafiki pia karibu sana
 
Changamoto nazo hazikosekani.
Mmoja wa Wapambanaji wetu
Aliangukiwa na Tofali akavunjika mkono mara mbili
Tunamshukru Mungu kwa sasa amepona kabisa.
Ndo changamoto zakazi
Mabosi wetu Msitudharau mafundi
Tunakutana na hatari nyingi ktk kutimiza ndoto zenu.
Ahsanteni sana.
View attachment 887147
Mbona kama nakufahamu bro?
 
Back
Top Bottom