SHY-RESE BHANJI
NUKUU
Naomba kuuliza nimewakosea nini mpaka mnanisema sana? Jamii forum ndio mko mstari wa mbele kunuharibia kila siku!!! Nimewakosea nn?!!, Wote mnaoniharibia sifa yangu mnaniumiza moyo wangu sana, na hamnitendei haki . Kila mnaponiharibia Mungu atanisaidia. Watch me . (kutoka Facebook)
MWISHO WA KUNUKUU
SOURCE: Gazeti la Mwananchi leo jumamosi 12 March 2011. Huenda wengine mlishaipata hii ila kwa wale ambao hatukuiona tuione maana jf ni mlalamikiwa mkuu.
NAWASILISHA
kuna watu hawana kazi wakati wanpendana tunajua walitoana wapi,ustaarabu jambo la muhimu sana kuachana na mtu na kufanya matangazo ya biashara sidhani kama ni jambo la busara wangekaa kimya ,sio kuibua story za ajabu ajabu
hadi mwananchi wameirusha..huyu dada kweli anautafuta umaafuru kwa mgongo wa jf
hapo ndo safi yaani sheria za usumaku ndo zimetumika hapo yani south pole na north pole attract each other(demu wa ccm na men wa cdm).Afu huyu dada bwana,Jamaa yake mpya c chadema, afu yeye ccm duh kazi ipo.
hapo ndo safi yaani sheria za usumaku ndo zimetumika hapo yani south pole na north pole attract each other(demu wa ccm na men wa cdm).