Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwann 2muingilie ktk maisha yake?
Si hapo....Shy Rose Banji hapaswi kuilaumu JF, bali JF ni jukwaa lisiloacha kitu kwa upande wa matukio na lake nalo lilikuwa ni tukio. Mimi nadhani JK, Rostam, Lowassa na wengine wengi wangeomba JF itutwe kama si kufungiwa milele kwa jinsi wanavyojadiliwa. Banji jifunze jinsi ya kuishi kama staa.
Afu huyu dada bwana,Jamaa yake mpya c chadema, afu yeye ccm duh kazi ipo.