EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Majibu hayaji haraka kihivyo!, hadi uwe msafi kwa kuishi maisha yanayo mpendeza Mungu.Bado tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu.
Tumemwomba Mungu na kulia sana kwa kuondokewa na shujaa wetu sasa tunasubiri majibu kutoka kwa Mungu...