kiatu kipya
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 3,269
- 1,977
Ni sahihi kabisaPole sana, hata hivyo be careful, kama walikuja mchana then wakarudi usiku ujuwe kuna kitu kingine kikubwa Zaidi wanafuatilia kwako, kama unaweza ongeza ulinzi maana watavizia waingie na wewe ndani;
imarisha ulinzi mkuu wangu.
Hongera,kwa kweli nikikuta mwizi anapigwa sitakuwa na chembe ya hurumaNI KWELI MKUU NI MUHIMU KUOMBA ULINZI WA MUNGU KABLA HAJULALA, MI MWENYEWE NILIVAMIWA MWEZI ULIOPITA WAKAFANIKIWA KUINGIA NDANI NA KUONDOKA NA BAADHI YA VITU LAKINI BAHATI NZURI WALIKAMATWA NA SUNGUSUNGU NA NIKAVIPATA BAADA YA KUTOA TAARIFA OLICE
Pole sana na mimi leo asubuhi naamka nakuta geti limevunjwa walibakiza kazi ndogo sana kumalizia kazi yao bt sijui ni kipi kiliwakimbiza wakaishia kati.Niende moja kwa moja katka mada,around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu.Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango inafunguliwa kutoka ndani walikimbia.
SOMO
Kabla ya kulala mtangulize Mungu kama mlinzi wako na pia usiache vifaa hatarishi kama panga,nyundo na mbao nzito,mathalani kwangu kuna vipande vya mbao vya two by six walitumia kunyonga vyuma katika dirisha.
Ahsanteni,nawasilisha
Mkuu, si ungewapiga na sumu ya nyyki tuu.. Manati ya mzungu ya nini sasa?Niende moja kwa moja katka mada,around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu.Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango inafunguliwa kutoka ndani walikimbia.
SOMO
Kabla ya kulala mtangulize Mungu kama mlinzi wako na pia usiache vifaa hatarishi kama panga,nyundo na mbao nzito,mathalani kwangu kuna vipande vya mbao vya two by six walitumia kunyonga vyuma katika dirisha.
Ahsanteni,nawasilisha
Hivo uliwasikiaYaani ile nafungua mlango Wa chumbani nadhani walisikia wakateleza
Fanya ivyo mkuuItabidi nipambane hii sasa dharau kabisaa
pole na yaliyokukuta, Mungu yupo pamoja nawe, ila tu sahihisha heading yako kabla ya faizafoxy hajaionaNiende moja kwa moja katka mada,around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu.Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango inafunguliwa kutoka ndani walikimbia.
SOMO
Kabla ya kulala mtangulize Mungu kama mlinzi wako na pia usiache vifaa hatarishi kama panga,nyundo na mbao nzito,mathalani kwangu kuna vipande vya mbao vya two by six walitumia kunyonga vyuma katika dirisha.
Ahsanteni,nawasilisha
nasikia congo,laki na nusu unapata..Jamani hivi manati za kizungu gharama yake ipo vipi na taratibu gani za kufuata ili uipate
nasikia congo,laki na nusu unapata..Jamani hivi manati za kizungu gharama yake ipo vipi na taratibu gani za kufuata ili uipate