Tumenusurika kuingiliwa na wezi

Tumenusurika kuingiliwa na wezi

Pole sana, hata hivyo be careful, kama walikuja mchana then wakarudi usiku ujuwe kuna kitu kingine kikubwa Zaidi wanafuatilia kwako, kama unaweza ongeza ulinzi maana watavizia waingie na wewe ndani;
imarisha ulinzi mkuu wangu.
 
NI KWELI MKUU NI MUHIMU KUOMBA ULINZI WA MUNGU KABLA HAJULALA, MI MWENYEWE NILIVAMIWA MWEZI ULIOPITA WAKAFANIKIWA KUINGIA NDANI NA KUONDOKA NA BAADHI YA VITU LAKINI BAHATI NZURI WALIKAMATWA NA SUNGUSUNGU NA NIKAVIPATA BAADA YA KUTOA TAARIFA OLICE
 
Hongera,kwa kweli nikikuta mwizi anapigwa sitakuwa na chembe ya huruma
 
Niende moja kwa moja katka mada,around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu.Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango inafunguliwa kutoka ndani walikimbia.
SOMO
Kabla ya kulala mtangulize Mungu kama mlinzi wako na pia usiache vifaa hatarishi kama panga,nyundo na mbao nzito,mathalani kwangu kuna vipande vya mbao vya two by six walitumia kunyonga vyuma katika dirisha.
Ahsanteni,nawasilisha
Pole sana na mimi leo asubuhi naamka nakuta geti limevunjwa walibakiza kazi ndogo sana kumalizia kazi yao bt sijui ni kipi kiliwakimbiza wakaishia kati.
 
Mkuu, si ungewapiga na sumu ya nyyki tuu.. Manati ya mzungu ya nini sasa?
 
mi nililala na panga kali kinoma.. ila kwa macho yangu niliona mchawi kaingia nikashindwa hata kulivuta lile panga... huyu mchawi kweli professional..!!!!
 
Niende moja kwa moja katka mada,around SAA tisa usiku vibaka/wezi wamevamia nyumbani kwangu.Nashukuru Mungu alikuwa upande wangu hawakufanikiwa kuingia hadi ndani baada ya kusikia milango inafunguliwa kutoka ndani walikimbia.
SOMO
Kabla ya kulala mtangulize Mungu kama mlinzi wako na pia usiache vifaa hatarishi kama panga,nyundo na mbao nzito,mathalani kwangu kuna vipande vya mbao vya two by six walitumia kunyonga vyuma katika dirisha.
Ahsanteni,nawasilisha
pole na yaliyokukuta, Mungu yupo pamoja nawe, ila tu sahihisha heading yako kabla ya faizafoxy hajaiona
 
Pole sana na mimi leo asubuhi naamka nakuta geti limevunjwa walibakiza kazi ndogo sana kumalizia kazi yao bt sijui ni kipi kiliwakimbiza wakaishia kati.
Pole ndugu,sijui ndo hapa kazi imewavuruga
 
mi nililala na panga kali kinoma.. ila kwa macho yangu niliona mchawi kaingia nikashindwa hata kulivuta lile panga... huyu mchawi kweli professional..!!!!
Ulimwengu Wa roho za usiku ni mgumu mno
 
Kuna jamaa aliniaminisha juz kwamba waliofutwa kaz wengi watakua wezi,,japo nilimpinga sana kwa vielelezo lukuki lakin alishikilia msimamo wake kua lazima wawe wezi,,pole sana ndugu,,kwel ulinzi wa mungu ni mkuu kuliko wa mwanadamu
 
Back
Top Bottom