Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tukusikilize weweyaani ni bora hata nimsikilize bashite lakini sio huyu mtatiro
Nadhani mna utapiamlo mkali wa ubongo.Mwenye akili timamu hutafakari maana ya kila kitu bali mazwazwa humeza tu bila kufikiri.Akisema bwana mkubwa ndiiiiooooo!hivi bado mnaamini tu kuwa mkubwa hajambi mpaka leo?ilihali nyie ni wakubwa sasa na mnaachia ngurumo za kutosha!!Au mwadhani kuna ukubwa mwingine utawafikia!?Nimeamini birika ya bata kuku hatawadhii.Ndo kazi waliyobaki nayo,wamebaki kukosoa tu