Tumeokota

Tumeokota

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
IMG-20171220-WA0051.jpg
 
yaani ni bora hata nimsikilize bashite lakini sio huyu mtatiro
 
Ndo kazi waliyobaki nayo,wamebaki kukosoa tu
Nadhani mna utapiamlo mkali wa ubongo.Mwenye akili timamu hutafakari maana ya kila kitu bali mazwazwa humeza tu bila kufikiri.Akisema bwana mkubwa ndiiiiooooo!hivi bado mnaamini tu kuwa mkubwa hajambi mpaka leo?ilihali nyie ni wakubwa sasa na mnaachia ngurumo za kutosha!!Au mwadhani kuna ukubwa mwingine utawafikia!?Nimeamini birika ya bata kuku hatawadhii.
 
Back
Top Bottom