Nadhani mna utapiamlo mkali wa ubongo.Mwenye akili timamu hutafakari maana ya kila kitu bali mazwazwa humeza tu bila kufikiri.Akisema bwana mkubwa ndiiiiooooo!hivi bado mnaamini tu kuwa mkubwa hajambi mpaka leo?ilihali nyie ni wakubwa sasa na mnaachia ngurumo za kutosha!!Au mwadhani kuna ukubwa mwingine utawafikia!?Nimeamini birika ya bata kuku hatawadhii.