Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Nguruwe pori alianzia kazi Simba, kumbe Simba inafuga nguruwe pori, wakati anasema wenye akili yanga ni wawili alisema hio kauli akiwa msemaji wa Simba kumbe Simba mnatengeneza wajingaTatizo yule nguruwe pori kila anachoongea mnamsikiliza alisema mnaanzia group stage Caf champions league mkakubali alisema Caf confederation cup ni kombe loser akamaliza wenye akili yanga ni wawili hivi mtu kama huyo kweli anaaakili huyo
Timu bovu inagoli nyingi za kufunga na pia timu bovu ina goli chache za kufungwa ligi nzima ikipoteza mechi moja tu kwa mkubwa mwenzie tofauti na yule alieng'ang'aniwa na mlima mpunga kule mbarali ambae anashika mkia?Yanga haitakiwi kabisa kushinda!!?..ingekua hivyo ungeikuta!?..boresheni timu lenu bovu,mtaharibu mimba Bure!!
Kweli we mbumbumbu Kama alivyosema rage,nani anaiongoza ligi!?Timu bovu inagoli nyingi za kufunga na pia timu bovu ina goli chache za kufungwa ligi nzima ikipoteza mechi moja tu kwa mkubwa mwenzie tofauti na yule alieng'ang'aniwa na mlima mpunga kule mbarali ambae anashika mkia?
Kuongoza ligi kwa tigopesa ni jambo la kujisifu?Kweli we mbumbumbu Kama alivyosema rage,nani anaiongoza ligi!?
Hujitambui wewe umeshiba mihogo yako umekuja kumwaga uharo lakini ni kawaida yenu manara hakukosea kusema mmejaa vinyesi kwenye chupi zenuBinafsi naona kama tumezalisha kizazi cha vijana wa hovyo sana wanaoshabikia mpira kwa sasa. Sijui ni kwa nini hawa jamaa wanaoshabikia Simba wana uelewa na iq ndogo sana. Toka enzi na enzi miamba hii miwili haiwezi yote kuwa kwenye peak mara moja. Ni lazima mmoja awe chini na mwingine juu. Miaka 4 mfululizo, Simba ilikuwa juu na mbele ya Yanga ila Investment ya GSM imeiinua yanga sasa wakati Mo anasua sua upande wa pili. Hawa upande wa pili hawakubali ukweli sasa kila siku ni kusingizia uchawi, bahasha na marefa kuipendelea Yanga. Miaka 4 iliyopita Yanga hawakuwa wanalalamika wala singizia kuwa simba inahonga wala kuloga. Wao walikubali na kuumia kuwa simba ni tishio.
Kiukweli hauwezi fananisha simba na Yanga kwa sasa hata ukiweka mzania wa mchezaji mmoja mmoja utaona hilo ila Barba na Ahmed wanawaaminisha Yanga haiwezi shinda bila kuhonga au kuloga. Pathetic
Nani anaongoza ligi ewe mbumbumbu!?..na kuongoza ligi maana yake nini!?Kuongoza ligi kwa tigopesa ni jambo la kujisifu?
Timu mbovu mpka sasa imekuzidi magoli ya kufunga 29-22
Mtoa pasi za mwisho chama ametokea timu mbovu assist 9
Mfungaji wa pili akiwa ametokea timu mbovu goli 10
Wanaofuata bocco goli 5
Sakho goli 5
M.hussein goli 4
Nyani/mambwa/mla mihogo/kandambili/utopolo/chura/kabwili/kinyesi chagua jina moja linalokufaa hapo
Unaongoza ligi baada ya ushindi wa mchongo dhidi ya geita?Nani anaongoza ligi ewe mbumbumbu!?..na kuongoza ligi maana yake nini!?
Nyinyi mashabiki wa Simba wengi mna shida kichwani,yaani yanga akishinda ushindi wa mchongo,haya toa game ya geita,Nani anaongoza ligi!?..Simba kamfunga yanga lini Mara ya mwisho!?Unaongoza ligi baada ya ushindi wa mchongo dhidi ya geita?
Pekekeni hizo assist za Chama mkapewe kombe sasaKuongoza ligi kwa tigopesa ni jambo la kujisifu?
Timu mbovu mpka sasa imekuzidi magoli ya kufunga 29-22
Mtoa pasi za mwisho chama ametokea timu mbovu assist 9
Mfungaji wa pili akiwa ametokea timu mbovu goli 10
Wanaofuata bocco goli 5
Sakho goli 5
M.hussein goli 4
Nyani/mambwa/mla mihogo/kandambili/utopolo/chura/kabwili/kinyesi chagua jina moja linalokufaa hapo
Waacheni hivyo hivyo na ujinga waoNyinyi mashabiki wa Simba wengi mna shida kichwani,yaani yanga akishinda ushindi wa mchongo,haya toa game ya geita,Nani anaongoza ligi!?..Simba kamfunga yanga lini Mara ya mwisho!?
Yamekuwa hayoPekekeni hizo assist za Chama mkapewe kombe sasa
Mpaka akili iwakae sawa mihogo fc aka utopwinyoNyinyi mashabiki wa Simba wengi mna shida kichwani,yaani yanga akishinda ushindi wa mchongo,haya toa game ya geita,Nani anaongoza ligi!?..Simba kamfunga yanga lini Mara ya mwisho!?
Kama assist ndio ubingwa chukueni hata last season mlikua na kombe la George Mpole na SopuYamekuwa hayo
Yule jamaa kazi yake ni kutingisha manyonyo tu ?Kama assist ndio ubingwa chukueni hata last season mlikua na kombe la George Mpole na Sopu
Wala mihogo ya mbarali si ndio ninyi?Hakuna kitu kinachowauma Makolo kama kuona timu nyingine inapewa muhogo,
Yaani wanataka wapewe wao tu ila wakipewa wengine wamehonga[emoji1787]
Tuambie alifunga goli ngapi kipindi cha kwanza!Upuuzi kutoka kwa mpuuzi!! Hebu tupe sababu za wewe kuja na upuuzi huu, tupe tips zipi zimekupelekea useme huu upuuzi. Vinginevyo utakuwa ni mtu wa kuumia na Mambo yasiyo na msingi, kwa mtu mwenye akili timamu na upeo wa mpira huwezi kuja na ujinga kama huu. Kwahiyo unataka kutumaanisha yanga hakustahili kushinda?. Punguzeni ujinga na kuna mengine sio kuanzishia mada!!
Mlilalamika sana utopolo nyie ila mnyama aliwa prove wrong muda wote mechi za kimataifa.Binafsi naona kama tumezalisha kizazi cha vijana wa hovyo sana wanaoshabikia mpira kwa sasa. Sijui ni kwa nini hawa jamaa wanaoshabikia Simba wana uelewa na iq ndogo sana. Toka enzi na enzi miamba hii miwili haiwezi yote kuwa kwenye peak mara moja. Ni lazima mmoja awe chini na mwingine juu. Miaka 4 mfululizo, Simba ilikuwa juu na mbele ya Yanga ila Investment ya GSM imeiinua yanga sasa wakati Mo anasua sua upande wa pili. Hawa upande wa pili hawakubali ukweli sasa kila siku ni kusingizia uchawi, bahasha na marefa kuipendelea Yanga. Miaka 4 iliyopita Yanga hawakuwa wanalalamika wala singizia kuwa simba inahonga wala kuloga. Wao walikubali na kuumia kuwa simba ni tishio.
Kiukweli hauwezi fananisha simba na Yanga kwa sasa hata ukiweka mzania wa mchezaji mmoja mmoja utaona hilo ila Barba na Ahmed wanawaaminisha Yanga haiwezi shinda bila kuhonga au kuloga. Pathetic
Kama hapa alivyo watingishaYule jamaa kazi yake ni kutingisha manyonyo tu ?