Tumeonesha ukomavu mkubwa kisiasa. Kama taifa tuendeleze hii kasumba

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,746
Reaction score
5,772
Sio jambo la kawaida kwamba Rais anakuwa hayupo madarakani halafu kwa taifa la kiafrica ambalo tunajua fika Waafrika ni waroho wa madaraka halafu panatokea nafasi ya raisi inakuwa wazi na watu wanasubiri utaratibu wa kisheria ufuatwe na unafuatwa kisha anapatikana mrithi wake ni jambo la kujopongeza.

Tumeshuhudia nchi nyingi kuwa inapotokea kuwa Rais hayupo madarakani hata kwa sekunde hutokea machafuko na watu kujitangaza kwa nguvu na kuchukua nafasi hiyo. Leo hii hapa Tanzania tumeziba nafasi hiyo bila vurugu wala kinyongo.

Mbaya ni kwa wahafidhina wa Chadema ambao huwa hawakosi kulaumu hata kama jambo limeenda vyema wao ni lawama na kuombea mabaya taifa.
 
CHADEMA imefanya nini tena! Kwani wakati kiti kipo wazi walijitangazia urais au? Kwanza wanapaswa kupewa Heko na tuzo ya heshima ya utunzaji wa amani kwa ukomavu mkubwa kisiasa waliouonyesha, kwani ni uvumilivu wa kipekee kuona chama kikuu cha upinzani tena chenye credibility kubwa kimekuwa na uzalendo wa hali ya juu even in the times when the chair was vacant. Ingekuwa ni kwenye hiyo nchi ya wenzetu Kingeshaumana mapemaa!!
 
Tumeshuhudia nchi nyingi kuwa inapotokea kuwa rais hayupo madarakani hata kwa sekunde hutokea machafuko na watu kujitangaza kwa nguvu na kuchukua nafasi hiyo. Leo hii hapa Tanzania tumeziba nafasi hiyo bila vurugu wala kinyongo

Mti unaweza kuwa wakijani lakini ukawa kwa ndani unaliwa na wadudu

Mbaya ni kwa wahafidhina wa Chadema ambao huwa hawakosi kulaumu hata kama jambo limeenda vyema wao ni lawama na kuombea mabaya taifa
Ukiwa mtanzania ni rahisi sana kujua mwanachama au mshabiki wa chama cha siasa kirahisi sana kwa sababu uzalendo wake upo kwenye chama na si kwataifa lake
 
CHADEMA imefanya nini tena! Kwani wakati kiti kipo wazi walijitangazia urais au? Kwanza wanapaswa kupewa Heko na tuzo ya heshima ya utunzaji wa amani kwa ukomavu mkubwa kisiasa waliouonyesha, kwani ni uvumilivu wa kipekee kuona chama kikuu cha upinzani tena chenye credibility kubwa kimekuwa na uzalendo wa hali ya juu even in the times when the chair was vacant. Ingekuwa ni kwenye hiyo nchi ya wenzetu Kingeshaumana mapemaa!!
Chama kikuu cha upinzani chenye credibility kubwa?
 
Sio jambo la kawaida kwamba rais anakuwa hayupo madarakani alafu kwa taifa la kiafrica ambalo tunajua fika waafrika ni waroho wa madaraka alafu panatokea nafasi ya raisi inakuwa wazi na watu wanasubiri utaratibu wa kisheria ufuatwe na unafuatwa kisha anapatikana mrithi wake ni jambo la kujopongeza.

Tumeshuhudia nchi nyingi kuwa inapotokea kuwa rais hayupo madarakani hata kwa sekunde hutokea machafuko na watu kujitangaza kwa nguvu na kuchukua nafasi hiyo. Leo hii hapa Tanzania tumeziba nafasi hiyo bila vurugu wala kinyongo.

Mbaya ni kwa wahafidhina wa Chadema ambao huwa hawakosi kulaumu hata kama jambo limeenda vyema wao ni lawama na kuombea mabaya taifa.

Si kuwa pongezi ziwaendee jenerali Mabeyo na top brass ya JWTZ kwa kusisitiza katiba kuheshimiwa.

Si pia pongezi zimwendee mkwere kwa kuwakalia kooni vilivyo Chatto Inc. kutokutuletea zao za kuleta.

Heko JWTZ, heko JK, heko Mangula na heko mama Samia kwa hakika mmetutoa kimasomaso!
 
Chadema walitamani kuona mtifuano ndani ya Serikali na CCM kwa ujumla ila haijawa hivyo.
 
Sio jambo la kawaida kwamba rais anakuwa hayupo madarakani alafu kwa taifa la kiafrica ambalo tunajua fika waafrika ni waroho wa madaraka alafu panatokea nafasi ya raisi inakuwa wazi na watu wanasubiri utaratibu wa kisheria ufuatwe na unafuatwa kisha anapatikana mrithi wake ni jambo la kujopongeza.

Tumeshuhudia nchi nyingi kuwa inapotokea kuwa rais hayupo madarakani hata kwa sekunde hutokea machafuko na watu kujitangaza kwa nguvu na kuchukua nafasi hiyo. Leo hii hapa Tanzania tumeziba nafasi hiyo bila vurugu wala kinyongo.

Mbaya ni kwa wahafidhina wa Chadema ambao huwa hawakosi kulaumu hata kama jambo limeenda vyema wao ni lawama na kuombea mabaya taifa.
Umeanza vizuri ukamalizia vibaya,kwani hao CHADEMA sio waTz?
 
Chadema walitamani kuona mtifuano ndani ya Serikali na CCM kwa ujumla ila haijawa hivyo.
Naendelea kuamini CCM ina mashabiki na imeishiwa wanachama. Yaani mnadhani hata Samia ataendekeza ushabiki naandazi wa kutafuta mbuzi wa kafara badala ya kusema uhalisia? CHADEMA hapa kwa ufinyu wako wa akili wanahusika vipi?

1. Ndio waliotaka kushawishi Samia asiapishwe?
2. Ndio waliotaka kitafutwe kifungu chochote cha kusaidia Samia asiwe Rais bali atafutwe mwanaume mwingine kushika nchi kwa muda?
3. Ndio waliowashawishi waislamu waafidhina wamwambie Samia kwamba ni haramu mwanamke wa kiislamu kutawala wanaume?
 
Mbona tifu lipo tu sema wewe kwa akili zako kiduchu huwezi kulitambua,unachojua ni kuikejeli Chadema tu ukitegemea zile teuzi za kimalaya ambazo kwa bahati mbaya sana kwa chawa kama wewe awamu hii hazitakuwepo.
 
Naendelea kuamini CCM ina mashabiki na imeishiwa wanachama. Yaani mnadhani hata Samia ataendekeza ushabiki naandazi wa kutafuta mbuzi wa kafara badala ya kusema uhalisia? CHADEMA hapa kwa ufinyu wako wa akili wanahusika vipi?

1. Ndio waliotaka kushawishi Samia asiapishwe?
2. Ndio waliotaka kitafutwe kifungu chochote cha kusaidia Samia asiwe Rais bali atafutwe mwanaume mwingine kushika nchi kwa muda?
3. Ndio waliowashawishi waislamu waafidhina wamwambie Samia kwamba ni haramu mwanamke wa kiislamu kutawala wanaume?
Braza hii nchi inaendeshwa kwa mujibu wa katiba na sheria na sio maandiko kutoka Twitter kwa makamanda wa chadema endelea kusubiri mtifuano na hautotokea kamwe izo zingine porojo tu.
 
Back
Top Bottom