Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 21, 2021 #21 Ni jambo la kushukuru na kujipongeza sana... Sifa ziwaendee JWTZ...
darubin ya mbao JF-Expert Member Joined Aug 3, 2016 Posts 2,863 Reaction score 6,041 Mar 21, 2021 #22 Hali iwe hivyo hivyo hata siku akishinda chama cha upinzani transition of power ifanyike smoothly namna hiyo hapo tutajenga taifa la watu wastaarabu na wanaoheshimiana.
Hali iwe hivyo hivyo hata siku akishinda chama cha upinzani transition of power ifanyike smoothly namna hiyo hapo tutajenga taifa la watu wastaarabu na wanaoheshimiana.