Tumepanda ligi kuu, Njombe Mjii Oyeeeee....!!!

Tumepanda ligi kuu, Njombe Mjii Oyeeeee....!!!

Hongera sana wana njombe pamoja na wana iringa kazi iliyo baki nikuiombea mikoa ya Rukwa na Songwe nao waweze kuwa na timu ligi kuu
 
Kuna akina Panone fc sijui sasa ivi wako wapi dah. Natamani angetoka huko hata mmoja
Panone FC wameshuka daraja la pili, JKT Oljoro wamepanda daraja la kwanza.. AFC, Madini na Pepsi ya Karatu wako daraja la pili kinachokwamisha timu za ukanda huo no mipango mibovu na tamaa!
 
Nakumbuka mwaka 2001 kipindi nipo pale NOSS Nazareti ikiwa ligi kuu tulikuwa tunavizia fungulia mbwa pale uwanja wa sabasaba. Nimemiss sana Njombe mitaa ya Chaugingi, Kihesa, Matarawe, mjimwema, Ramadhan, Uzunguni nk.
 
Back
Top Bottom