Nani kakwambia si upo uwanja wa sabasabasijui watachezea kiwanja gani maana njombe hakuna kiwanja, makambako kiwanja kibovu hakina jukwaa hata moja
una majukwaa ya kukaa?Nani kakwambia si upo uwanja wa sabasaba
Panone FC wameshuka daraja la pili, JKT Oljoro wamepanda daraja la kwanza.. AFC, Madini na Pepsi ya Karatu wako daraja la pili kinachokwamisha timu za ukanda huo no mipango mibovu na tamaa!Kuna akina Panone fc sijui sasa ivi wako wapi dah. Natamani angetoka huko hata mmoja
ase sisi wa kizazi kipya mkuu mwaka 2015 tu hapo.tukuwa na bwana benard williamMwaka gani huo? Naikumbuka sana shule yangu chini ya Headmaster Msele.