Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Wala siyo jipya kwenye kisukuma! Ni style ya bata anavyosokomeza mdomo kwenye tope au maji machafu! Ile sauti na kitendo tunaita "KUDODOMEJA" ! Ukitohoa hilo neno kuja kwenye Kiswahili inakuwa KUDODOMEZA[emoji41][emoji41][emoji41]Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
View attachment 1056711
Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno jipya kwenye kamusi anihabarishe. neno lenyewe ni:
'KUDODOMEZA'!
Uuuuuwi hili linahusu idodomyaKwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
View attachment 1056711
Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno jipya kwenye kamusi anihabarishe. neno lenyewe ni:
'KUDODOMEZA'!
NimekuelewaKU-DODOM- EZ- A
Mzizi Dodom
Dodoma
Dodomeza
Dodomezo
Dodomezea
Dodomezeka
Dodomezana
Dodomezesha
Dodomezeshana
= Didimiza
Sent using Jamii Forums mobile app