Tumepata msamiati mpya 'kudodomeza'

Tumepata msamiati mpya 'kudodomeza'

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
1553840132552.png

Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno jipya kwenye kamusi anihabarishe. neno lenyewe ni:
'KUDODOMEZA'!
 
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha!
Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi!
View attachment 1056711
Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno jipya kwenye kamusi anihabarishe. neno lenyewe ni:
'KUDODOMEZA'!
Wala siyo jipya kwenye kisukuma! Ni style ya bata anavyosokomeza mdomo kwenye tope au maji machafu! Ile sauti na kitendo tunaita "KUDODOMEJA" ! Ukitohoa hilo neno kuja kwenye Kiswahili inakuwa KUDODOMEZA[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom