Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
Kwa hiyo ndiyo umemaliza yani sindio? Haya koroga chai unyweMaoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.