Tumepeleka wapi vichwa vyetu? Hivi ni kweli mchakato wa kuwafukuza uanachama Halima Mdee na wenzake ulikamilika kwa vigezo vyote vya kikatiba?

Taratibu gani, si mzitaje ili hoja zenu ziwe relevant!ndio mana jamaa anawaita headless chicken kwa mtindo huu
Maamuzi yao ya rufani yanasemaje??

Mchakato wa kuwafukuza ulijaa mihemko badala ya kufuata taratibu.
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.

Nape anakula kwa kuongea
 
Hujatukanwa wewe headless chicken. Wawekee vifungu afu ukae kimya.
Mkuu unategemea headless chicken akupe vifungu tena basi utakuwa zaidi ya headless chicken
 
Huu ndio uelewa wako? Nadhani nadala ya kupoteza mda wasikilizeni na jauamua rufaa yao ili yaishe- mataendlea kupiga kelele ambazo haziwatowi bungeni. Au kwa vile mnapokea ruzuku kupitia kwako manapiga kelele huku mnakula ruzuku siyo?
 
Hivi mchakato wa wale wabunge wa cuf waliofukuzwa na propesa ulikamilikaje mpaka spika akatoa taarifa kesho yake tu kuwa wamefukuzwa?
Tukumbushe ilikuwaje- kama vile ndani ya CUF uliisha na wakaenda mahakamani. Kwa upande wa hawa ndani ya CHADEMA mkachakato haujaisha na wahanga hawawezi kwenda mahakamani. Rejea barua ya kujiuzulu kwa Lipumba- Mkutano mkuu ndio uliopaswa kuamua. haukuwahi kukaa na kuamua suala likabaki hewani Lipumba ukabadili mawazo kilichotokea wote tunajua
 
Huu ndio uelewa wako? Nadhani nadala ya kupoteza mda wasikilizeni na jauamua rufaa yao ili yaishe- mataendlea kupiga kelele ambazo haziwatowi bungeni. Au kwa vile mnapokea ruzuku kupitia kwako manapiga kelele huku mnakula ruzuku siyo?
Ubatili ni ubatili tu, Ndugai ataingia kwenye record kama Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Msekwa alishasema, na Nape juzi kasema; hawa ni wabunge batili
 
Ubatili ni ubatili tu, Ndugai ataingia kwenye record kama Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea. Msekwa alishasema, na Nape juzi kasema; hawa ni wabunge batili
Mkuu achana na Msekwa na Nape- malizeni kwa kuamua rufaa yao ili kieleweke mbona ni rahisi tu.
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Mpumbavu wewe.kwani mfungwa akikata rufaa mahakama ya juu anapaswa kuwa wapi wakati rufaa ikiwa inasikilizwa!
Wewe ndiyo umepeleka ubongo wako lilizo kwa ushabiki wako wa kipumbavu. Chama kimeshasema kimewafukuza nyie mnawashikilia! Kama wanahitajika mbona mliwaibia kura????
Mahayawani wote
 
Hao sijui Covid-19 walikata rufaa na Baraza Kuu halijakaa kusikiliza rufaa yenyewe hivyo nahisi hao Bawacha wakifungua kesi itatupiliwa mbali kwa kigezo hicho.

So please Bawacha should be advised accordingly to avoid being disappointed should they go to court.

They should convene a General Conference which I'm sure will uphold the decision taken by the Central Committee to expel the women from the party and from there it will surely be a game over for the so called "Covid-19".
 
Ungekuwa si CHADEMA ningehamaki lakini kwa vile wewe ni CHADEMA na mfuasi wa bwana yule endelea tu lakini ukweli uko pale pale wako bungeni; hamuwezi kuwatoa; wanakula mshahara wao na nyie mnapata ruzuku; na kwa sababu ya utamu wa ruzuku mmeshindwa kusikiliza rufaa yao hatua ambayo ingehitimisha nia yenu ovu ya kuwafukuza kwenye chama chenu
 
Mkuu usijiumeume nyoosha maneno maana wewe hunishindi na teknolojia ya kukupata ninayo- wewe sema tu
Sasa umeanza mchakato wa kuwa mpumbavu, subiri utangazwe rasmi kuwa mheshimiwa mpumbavu. Unatisha watu JF? Kawatishe Lumumba wanaotishwa wanatembelea magoti km2.
 
Magufuli (Rip) ameharibu sana hii nchi, haya ya kulazimisha hawa wanawake wawe bungeni ni fikra zake, yeye ndiye alimwagiza Ndugai awaapishe baada pia ya kuamuru yule mwingine aondolewe gerezani.

Katika kitu ambacho Mwenyezi Mungu amenifurahisha maishani ni kumwondoa Magufuli duniani kwa wakati huu ambapo alikuwa anajipanga awe rais wa maisha.

Hatukuwahi kuwa na rais wa hovyo na bogus sampuli hii ya Magufuli, mtu ambaye hakuwa kabisa na kipawa cha uongozi.

Very hopeless despot and populist demagogue who masqueraded as a leader, let him burn in hell the ruthless butcher.
 
Maoni ya Mh. Nape juu ya uhalali wa wabunge wa vitu maalumu CHADEMA umenishangaza kidogo kwa sababu mchakato wa kuwafukuza uanachama haujakamilika kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, JMT na Natural law.
Ulishajibiwa:Ikiwa umehukumiwa kufungwa na kuna fursa ya kukata rufaa unaachilwa huru au unatumikia adhabu wakati process ya rufaa inaendelea?
 
Tunachangamoto kubwa sana katika michango ya mada. Mtu anajipima uwezo wa kuchangia kwa kumdharau mtoa mada, kashfa na kejeri.

Inaweza kuku cost kiasi gani kama dharau hizo usizionyeshe. Yaani unamwita mwenzio headless chicken na mwingine anakuja hapo anakandamizia. Dah.

Anyways hivi vitu haziwezi kujaisha despite ya elimu na umri tulio nayo.

WE ARE WIRED DIFFERENTLY.
 
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine niliwahi kuwasoma hapa wenye akili kama zako tu. Mm sina kadi ya chadema japo sio kosa kuwa nayo. Najitambua ndo mana siongei kwa kuimba taarabu kama wewe bi kopa. Hakuna popote nilivyotaja chadema kwenye hoja yangu, hakuna popote nilipotaja ruzuku. Na chadema kama chama wanautaratibu wao wa kuitisha vikao vya baraza ili waamue hatima ya hao wabunge. Kuendelea kuwalipa mishahara na posho hakumnufaishi yeyote wala kumkomoa Bali ni kipimo cha ujinga cha bwana ndugu.
Mtu akikata rufaa akiwa gerezani huwa anaachiliwa akingoja maamuzi ya rufaa yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…