Wataka kusema watu watakua wakijiongezea SIFURI mbele??Walikuwa wanatest ili kuonesha kuwa hizo hela walizotuibia wamefanya kitu!!
Bajeti ya mradi mzima wa SGR iliyokadiriwa enzi ya Magufuli itakuja kuwa mara kumi mradi huu ukiisha!! Ndio maana ukiwauliza mpaka sasa mradi umekula kiasi gani hawawezi kusema na Samia anazidi kuzurula nje kwenda kukopa akiongozana na madalali wake!!😹