Wataka kusema watu watakua wakijiongezea SIFURI mbele??Walikuwa wanatest ili kuonesha kuwa hizo hela walizotuibia wamefanya kitu!!
Bajeti ya mradi mzima wa SGR iliyokadiriwa enzi ya Magufuli itakuja kuwa mara kumi mradi huu ukiisha!! Ndio maana ukiwauliza mpaka sasa mradi umekula kiasi gani hawawezi kusema na Samia anazidi kuzurula nje kwenda kukopa akiongozana na madalali wake!!πΉ
Mpumbavu pekee ataona treni ya diesel ni bora kuliko ya umeme
Bongo kazi ipo! Tazama TBC wanavyohubiri kuhusu mama!
Mama kweli anapuyanga hata mimi namchukia vibaya kumuona yupo madarakani na serikali yake imekua ya ahadi ya uongo.Bongo kazi ipo! Tazama TBC wanavyohubiri kuhusu mama!
Utafikiri NABII WA KUTUPA MAENDELEO?! KUMBE KUPAKA HINA, MITANDIO, DHAHABU NA SAA ZA BEI MBAYA!
BURE KABISA...
HahahaBaraka zitatoka wapi kama kila mtanzania analalamika ugumu wa maisha huku viongozi wakiongozwa na Samia Saluhu Hassan wakiishi maisha ya kifahali,hilo treni linatskiwa kilipuka tu,kila kitu chini ya CCM ni feki.
Unamchukia Bure. .wachukie wale wanaowaingiza Madarakani Viongozi wezi na mafisadiMama kweli anapuyanga hata mimi namchukia vibaya kumuona yupo madarakani na serikali yake imekua ya ahadi ya uongo.
Ila kwa SGR wamejitahidi tusiwe waongo yani kasi ya majaribio ilitumia 100kmph-120kmph .
Hiyo ni kasi ya majaribio sio maximum speed .
Ndio maana yake!! Chief Hangaya yupo yupo tu watu wanaongeza 0000!!Wataka kusema watu watakua wakijiongezea SIFURI mbele??
Yeye ni mmoja wapo bro ya hao wanaowaingiza mafisadi madarakani.Unamchukia Bure. .wachukie wale wanaowaingiza Madarakani Viongozi wezi na mafisadi
Hii ni treni ya majaribioMbona kwenye Mabarabara hakuna Fence na sisi Madereva huwa tunatembea zaidi ya 120kphh?
Kwani Diesel siyo mafuta....!?Mpumbavu pekee ataona treni ya diesel ni bora kuliko ya mafuta
Ondoeni ujinga watanganyika sio kila kitu mnachukulia vibaya
Bro are you realy serious ufananishe chombo cha reli na gari??Mbona kwenye Mabarabara hakuna Fence na sisi Madereva huwa tunatembea zaidi ya 120kphh?
Mkuu ikikupendeza achana nayo mizuzu na mizwazwa hiyo; hiyo ndo daima ipo hivyo utajipa tabu bure.Unaonesha unaendeshwa na mihemko pasi na kuwa mpembuzi.
Sawa serikali ina madudu yake ILA USIWE FALA WA KUKOSOA KILA KITU.
Treni ya DMU ya Kenya nimefananisha na DIESEL LOKOMOTIVES ZA MGR ZA TANZANIA.
Sijui umeelewa nachozungumzia!?
Pia hizo zipo katika majaribio punguza uzwazwa na kuwa factual wacha matusi na usome kwa kuelewa.
Kwani mabasi yanatumia nini?Ya diesel hiyo πππ
Hapa watu wanapiga pesa haswaWalikuwa wanatest ili kuonesha kuwa hizo hela walizotuibia wamefanya kitu!!
Bajeti ya mradi mzima wa SGR iliyokadiriwa enzi ya Magufuli itakuja kuwa mara kumi mradi huu ukiisha!! Ndio maana ukiwauliza mpaka sasa mradi umekula kiasi gani hawawezi kusema na Samia anazidi kuzurula nje kwenda kukopa akiongozana na madalali wake!!πΉ
Nimechanganya *umemeKwani Diesel siyo mafuta....!?
Fanya kazi utafute hela nyinyi ndio rinda mnatolewagwa kwa kuhongwaBongo kazi ipo! Tazama TBC wanavyohubiri kuhusu mama!
Utafikiri NABII WA KUTUPA MAENDELEO?! KUMBE KUPAKA HINA, MITANDIO, DHAHABU NA SAA ZA BEI MBAYA!
BURE KABISA...
Ambao ni wewe na Mimi tulipiga kura kwa kishindo 2020Unamchukia Bure. .wachukie wale wanaowaingiza Madarakani Viongozi wezi na mafisadi