Ebana wanajamvi inakuwaje!
Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos.
Ikumbukwe huyu Elon Musk ni mbaguzi na kujifanya Mungu mtu.
Fikiria taifa na bara lililomleta duniani South Africa na Africa hana time nalo kabisa. Angalau angetoa billion 50 usd kama asante kumsaidia na kuendeleza miradi mbali mbali ya maendeleo.
Tunamuombea utajiri wake uendele kushuka hadi alingane na kina chief godlove.