Tumepokea kwa shangwe kushuka kwa utajiri wa Elon Musk na kuwa watatu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Ebana wanajamvi inakuwaje!

Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos.

Ikumbukwe huyu Elon Musk ni mbaguzi na kujifanya Mungu mtu.

Fikiria taifa na bara lililomleta duniani South Africa na Africa hana time nalo kabisa. Angalau angetoa billion 50 usd kama asante kumsaidia na kuendeleza miradi mbali mbali ya maendeleo.

Tunamuombea utajiri wake uendele kushuka hadi alingane na kina chief godlove.
 
Ndio akili zetu cc waafrika kuombea waliofanikiwa wafeli ingali hata akifilisika Bado awezi kuwa km ww ..
Hata kama kinachotufarahisha na kutupa faraja utajiri wake unashuka na ana maumivu makali. Acha aonje joto la Jiwe. Jamaa lilijionaga Mungu mtu flani. Kina Bill Gates, Jeff Bezos hawanaga wenge na kujifanya
 
Mbona uchawi sasa huu!
Unafurahi yeye kushuka utajiri kua wa tatu kati ya watu Billions

Aya wewe Ngosha ni wa ngapi hata hapo kijijini kwenu kwa utajiri?
Tulia weweee
 
E bana wanajamvi inakuwaje!

Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezo...
hio ndio ile inaitwa adui yako muombee njaa? πŸ’
 
E bana wanajamvi inakuwaje!

Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos...
Wee endelea kuomba lkn kumbuka kuwa utajiri wake haujapatikana kwa kuomba.
 
E bana wanajamvi inakuwaje!

Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos...
Wabongo bwanaa!....

Wewe mwenyewe hata baiskeli tu! huna!.... Unafurahishwa kuporomoka kwa musk!? Kuwazia watu mabaya tu!

Hivi kwa akili yako.... Hata Elon musk akifulia anaweza kulingana hata theruthi moja na MO wenu bilionea!!?

Hivi kwa akili yako...unafikiri Tembo hata akikonda...anaweza kulingana na Mbwa!?
 
E bana wanajamvi inakuwaje!

Ni chereko, nderemo, shangwe, vifijo na furaha baada bilionea wa Tesla utajiri wake kushuka hadi 198 billion usd na kuwa watatu nyuma ya Bernard Arnault mfaransa na billionaire wa Amazon Jeff Bezos...
Huu ni uchawi na ufukara. Mafukara na wachawi hufurahia sana maanguko ya watu.
 
Pumbafff

Tafuta pesa is e ngulubange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…