Tumepokea kwa shangwe kushuka kwa utajiri wa Elon Musk na kuwa watatu

Nilijua kafilisika kabisa mpo nae hapo Gulwe Wilaya ya Kibakwe kumbe bado ni watatu Kwa utajiri duniani Kwa mujibu wa waleta taarifa.###HabariZaTajiriMuulizeMaskini###
 
Musk na wenzake wote ni mapambo tu, matajiri wa kweli na wenye uwezo mkubwa wapo na wamejificha.
 
Yaani matatizo yenu mnataka mtu binafsi atoe pesa zake kuwasaidia. Ubadhilifu wote unaotokea ndani ya bara hili, itakuwa ni kichaa peke yake atakayetoa pesa yake binafsi kulisaidia.
 
Mtuacheni tushereheke bana. Bora wote tuwe sawa tu.
 
we ungeweza
 
Karne ya 21 Bado Kuna watu mnafikiri katika bara Zima la Africa kusaidiwa na mtu mmoja kisa kafanikiwa ?
Kwani umewahi kujiuliza misaada kiasi Gani bara la Africa linpokea Kwa mwaka kutoka katika mabara mengine na mashirika ya misaada kutoka nje ?

Unadhani Elon Musk akitoa huo msaada ndo utabadili Nini Africa ?

Africa imemsaidiaje Elon musk kufika hapo alipofika ?

TUJITASAHIHISHE KUNA MAHALI AFRICA HATUKO SAWA ,,, HATUNA UZALENDO WA KWELI ZAIDI YA UNAFKI NA KUJIPENDEKEZA NDO VIMETUJAA
 
Mafanikio hayaji Kwa kuwachukia waliofanikiwa Bali kujifunza kutoka kwao
 
Wewe umemtumia bibi yako au mama yako Tsh ngapi mpaka sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…