mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Poleni mnooo, mama kupoteza ujauzito inauma sana... Mungu awatunze kwenye hiki kigumu
Acha kumchamba mleta mada mkuu kashatoka hospital hapa tuna mpa matumainj ka tiba ya kisaikolojia pia waliopitia same experience kushare walifanyaje.Hakuna sababu ya kuleta huku aisee, hapo kuna sababu nyingi za kutokea misacarriage. Hapa zaidi ya jokes na pole zisizo na impact tu utapata.
Wacha ujinga, enda kwa Dr atawapa ushauri wa kitaalamu. Na fuateni huo na sio story za huku PERIOD