Tumepoteza ujauzito wetu leo

Tumepoteza ujauzito wetu leo

Poleni sn maadam wote mpo wazima Mungu atawapa mwngne
 
Poleni sana... inatakiwa kwenda hosptali mapema sasa sijui kwanini umesema jumatano... wakati j5 ni mbali mnoo
 
Pole sana Ndugu,kazeni mioyo yenu.
Mtajaariwa mwingine.
 
Jmn kama imetoka na kama hamna tatizo usisafishe kizazi labda tu kuwe na tatizo
 
ni ngumu kukubali lakini imeshatokea MUNGU atakupa nafasi nyingine tena usiumie sana.
ila endelea kumwomba MUNGU atakuwezesha tena
 
Next time mkishajua mimba imekamata acheni tendo l ndoa mpaka mwezi wa nne/tano huko, Cana kuna complications mama apate bed rest mpaka mwezi 4-5. Poleni sana
 
Back
Top Bottom