WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Lakini hao wanaokuja na kutandaza umeme na huduma hizo huwa wanafikiria nini?
Bongo hakuna lisilowezekana! Ndio hapo ushangae inakuwaje tushindwe kubadili mazingira mabaya kuwa mazuri ilihali kila kitu kinawezekana!