WomanOfSubstance JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 5,457 Reaction score 963 Nov 5, 2008 #41 Mzee Mwanakijiji said: Lakini hao wanaokuja na kutandaza umeme na huduma hizo huwa wanafikiria nini? Click to expand... Bongo hakuna lisilowezekana! Ndio hapo ushangae inakuwaje tushindwe kubadili mazingira mabaya kuwa mazuri ilihali kila kitu kinawezekana!
Mzee Mwanakijiji said: Lakini hao wanaokuja na kutandaza umeme na huduma hizo huwa wanafikiria nini? Click to expand... Bongo hakuna lisilowezekana! Ndio hapo ushangae inakuwaje tushindwe kubadili mazingira mabaya kuwa mazuri ilihali kila kitu kinawezekana!