kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Chama Cha mapinduzi pambaneni kwa hoja achaneni na dola. Mnatia aibu mambo madogomadogo yanayowekwa kimkakati na wapinzani wenu yawachafue kimataifa mnashindwaje kuyang'amua.
Vimitego vidogo vidogo mnavyoshindwa kuving'amua ndivyo binawapa mailage ya kisiasa chadema na wafuasi. Mmekubali kuwa chanzo na misingi ya kupush agenda za Chadema kimataifa.
Wakati mnayafanya haya kumbukeni madhara yanakwenda kwenye uchumi na ustawi wa Taifa letu. Mkikwama kiuchumi njaa ikazidi itakuwa rahisi sana wananchi kushawishiwa waingie barabarani. Itakuwa rahisi sana ualifu kuongezeka na amani kupungua. Hakuna hafla ya CCM inayoombewa kibali, kwanini hao wanawake waliomba kibali nakukirusha mitandaoni Kama awakuwa na akili kubwa kuwazidi? Mkaingia mkenge mkawawaingiza Polisi leo imekuwa agenda Dunian. Kulikuwa na haja gani kuzuia hafla? Wamefanya mkutano no madhara, wameenda kula mmewatumia polisi na mnaamini Kuna integence inawashauri vyema? Lina hafla za ccm zimewahi pelekewa Polisi?
Mnapopambana iangalieni nchi,anglieni mdororo wa uchumi Duniani angalien madhara kwa jamii. Taifa linateketea kwa mrundikano wa watu wenye less than 60% capability to lead