Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Wengi hawajawahi kufanya kazi popote ni mwendo wa SURNAMES CONNECTIONS kisha wanasoma tu majina yao kwenye mikeka
Wanaotembea kwenye chaki ni kundi la wanaFURSA kutoka UVICHICHIEM,
Kumbuka
Kuna makundi matatu ndani ya CHICHIEM
1. WenyeCHICHIEM
2. WanaCHICHIEM
3. wanaFURSA
Namba 1 wapo kwa ajili kulinda umiliki wao ndani CHICHIEM kwa ajili yao na familia zao
Namba 3 wapo kwa ajili ya namba 1
Namba 2 wapo kwa ajili ya CHICHIEM yao
Ili kuokoa CHICHIEM YETU na taifa hili nafasi zote za uteuzi ambazo zinahusisha vijana zipelekwe Public Sector Recruitment Service (tume ya ajira Utumishi) zitangazwe huko kisha watu waombe kuwa DC DED DAS RAS RC MD nk nk kwa sifa vigezo tajwa
Kisha Vetted shortlist ndio IENDE kwenye MAMLAKA za uteuzi