TUMERUDI PALE PALE HAKUNA MABADILIKO, BARRICK KIBOKO

mwambadog

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
1,736
Reaction score
1,446
BARRICK WANAMILIKI MAJORITY SHARE 64% SERIKALI 16% WADAU WENGINE 20% KITU AMBACHO WANGEENDA KUNUNUA SHARE KAWADA TU KAMA MI NIKITAKA KUNUNUA SHARE ZA CRDB.

PILI, JPM KASEMA TUNAGAWANA 50% YA KINACHOPATIKANA(FAIDA)( TUTAHAKIKISHA VIPI WANA DECLARE FAIDA YA KWELI, MAANA MIAKA 16 TULISHINDWA HATA KU AUDIT MAPATO YAO

JE NANI KAPIGWA JPM AU BARRICK? KAMA UNAUELEWA UMEJUA

JE HAWA JAMAA WAKISEMA HATUJAPATA FAIDA 50% YA FAIDA KWA HERI

JE TUTAZIBITI VIPI WASIIBE DHAHABU?

MAKINIKIA YA MESAHAULIKA? DHAHABU NDANI YA MAKINIKIA WANAONDOKA NAZO?

SISI NI WAAFRICA TUUUUU............PERIOD

MWISHO, MFUNDISHENI LUGHA RAIS ANAAHIBISHA


MZALENDO NAMBA MOJA TUNDU LISU GET WELL SOON BRO

 

Millioni 300 badala ya Trillions 400+!!!!!!!!!!!!!.

TUNDU LISU YUKO WAPI JAMANI?

LISU AMECHANGIAJE KATIKA KUPIGWA KWETU NAMNA HII?

KAMA SIYO AIBU, HII NI FEDHEHA!
 
Millioni 300 badala ya Trillions 400+!!!!!!!!!!!!!.

TUNDU LISU YUKO WAPI JAMANI?

LISU AMECHANGIAJE KATIKA KUPIGWA KWETU NAMNA HII?

KAMA SIYO AIBU, HII NI FEDHEHA!

HAHAHAAAAAA DHAHABU WAMEMWACHIA AONDOKE NAZO CHINI YA ULINZI MKALI
 
Hivi Ni kweli walikuwa wanatuibia kwenye makinikia au! mbona hawajagusia.....
Yaani kutoka trillion 108 mpaka billion 666!!!
mmmmmh.....

Noah yangu jamani

KUTOKA TRIONI 420 HADI BILLION 660

PIA POSSIBLY KUNA SIASA HAPO HUWEZI SEMA NIMESHINDWA

BARRICK BANA
 
WAZALENDO MBUMBUMBU BWANA WANACHEKESHA
 
Utakuwa mnafiki sana we jamaa unashangilia barrick kushinda hata kama ushabiki WA kichama unafiki wako ni noma
 
Makinikia hawajayagusia kabisaaa!

Tutaamka asubuhi moja makontena yote yameshapakiwa na kuondoka kuficha aibu.
 
Ulichoandika ni mavi ya shetani, najua hili hamkulitarajia kabisa.
Pia fahamu hata Sisi katika mauzo tutakua na wawakilishi, na pia fahamu mageuzi ya hii sheria mpya ya madini si haba, huko kwenye 50/50% tutafika tu, si haba kuanza na 16%, kwa jinsi sheria mbovu zilizosainiwa na watangulizi wa serikali zilizopita.
Kwa hili tumpongeze Rais Magufuli kwa hatua alizochukua dhidi ya raslimali madini.
Nashukuru pia yule aliesema kwa tutanyolewa na hawa watu, tusiwaguse, Mr Tundu Lissu yu hai, na Mungu amtie nguvu zaidi ili adhalilike zaidi kabla ya umauti haujamfika, kwani kifo kwa Sisi wanadamu wote ni faradhi.
Ni vizuri ashuhudie ile kauri aliyoambiwa kwamba ni msaliti kabla ya umauti haujamfika
 
jitafakari na ulichoandika ni buree kabisaa,weka uhanaharakati wako pembeni then jadili kitu kulingana na uhalisia wa tukio,sio mihemko,rudia tena na tena kutazama tukio na jinsi kilichozungumzwa,ucha uzwazwa
 
Labda tulisikia vibaya kile ambacho TRA walisema, haikuwa 400 BILLIONI kweli!?? Bahati mbaya TRA hawako 'verified' hapa kama TCRA, TPA, DAWASCO nk. Wangekuwepo tungewuliza wakatupa mrejesho labda!

Mimi kwa Trillion 400 nilikuwa nasubiri mazungumzo yaishe nipate Noah yangu sasa sielewi hii 600 billion kama tutaambulia japo baiskeli ya Swala!

Hakyanani kama mambo yakiwa hivi naenda mahakamani kuyashitaki magazeti na TRA yaliyotuaminisha umiliki wa Noah, sasa nimeshaingia gharama kutengeneza kibarabara cha kuelekea kwetu alafu uniambie 600b pesa isiyofikia hata mishahara ya mwezi kwa watumishi wa umma!!
 

sawa wacha tuone movi ya yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…