Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
Labda tulisikia vibaya kile ambacho TRA walisema, haikuwa 400 BILLIONI kweli!?? Bahati mbaya TRA hawako 'verified' hapa kama TCRA, TPA, DAWASCO nk. Wangekuwepo tungewuliza wakatupa mrejesho labda!
Mimi kwa Trillion 400 nilikuwa nasubiri mazungumzo yaishe nipate Noah yangu sasa sielewi hii 600 billion kama tutaambulia japo baiskeli ya Swala!
Hakyanani kama mambo yakiwa hivi naenda mahakamani kuyashitaki magazeti na TRA yaliyotuaminisha umiliki wa Noah, sasa nimeshaingia gharama kutengeneza kibarabara cha kuelekea kwetu alafu uniambie 600b pesa isiyofikia hata mishahara ya mwezi kwa watumishi wa umma!!
Makinikia hayata kwenda nje tena, yatachenjuliwa hapa nchiniMakinikia hawajayagusia kabisaaa!
Tutaamka asubuhi moja makontena yote yameshapakiwa na kuondoka kuficha aibu.
Tena anashuhudia akiwa tengesawa wacha tuone movi ya yesu
Hao waliopita awamu nyingine mbona walikuwa wazuri sana wa hiyo lugha na ndo wakatuingiza kwenye huu mkwamo wa sasa? huyu hata kama hajui angalau tumepata hapo bilioni 700 na kuanzia sasa kitakachopatikana ni mara dufu ya kilichokuwa kinafichwa kutokana na sheria mbovu.. kubalini basi hata kwa kidogo kinachofanyika..
Sidhani kama ni sahihi kuangalia bei tuliyoitumia kufika hapo... hata wao wamekaa miezi mitatu hotelini wakifanya haya mazungumzo.. unaongelea biashara itakayoendelea nchini kwa miaka mingi ijayo,hata mzee wa Msoga alisema ukitaka kula lazma uliwesawa, tumetumia bei gani kufika hapo. madhara gani ya direct na indirect tunapata? sorry nielimishe
Wewe tembea kwa miguu na kachukue kadi, hakutakua na tofauti na nilichokwambia, na Kumbuka majadiliano yanaendelea, cha kwao ni dhahabu tu, madini mengine yote ni ya kwetu.wakifanya hivyo naenda kuchukua kadi ya ccm, ntatoka huku kwetu natembea kwa mguu hadi dar kumpongeza rais
Ndio mtakavyoambiwaMakinikia hayata kwenda nje tena, yatachenjuliwa hapa nchini
Umekuruka usingizini?ULICHO KISOMA