Tumesahau kupika kwa nyanya kwa muda, ni mwendo wa mboga za majani

Tumesahau kupika kwa nyanya kwa muda, ni mwendo wa mboga za majani

Nina nyanya Hapa za kujaza kenta,sijui nizilete ,tatizo usafiri
 
Mkuu ,Fanya mpango APO home Uwe na kitchengadern maana hali ya uchumi sio,ita serv pesa zako.
Uswahili hamna mashamba hata ya garden mkuu, ni mwendo wa vichochoro tu
 
Bei ya nyanya na vitunguu imepaa kupita kawaida!

Sado ya vitunguu ilikuwa shilingi elfu 3-6 sasa ni shilingi elfu 18,000-20,000/-

Tangu nianze maisha ya kujitegemea sijawahi shuhudia bei ikipaa kiasi hicho !

Ndizi bei juu Mchele umepanda!




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom