Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Yani nyanya na vitunguu mtaani ndiyo vimeadimika kabisa maana wachuuzi wanaona wakinunua kuja kuuza mtaani bei watu hawaiweza mwisho atapata hasara
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app