Sikujua kama ukipika mseto wa dagaa na mboga za majani hususan tembele na uweke na karoti ni tamu balaa.
Au nyama na mnafu na karoti utaipenda.
Woiii nyanya nishaanza kusahau kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lete mkuu uje upige helaNina nyanya Hapa za kujaza kenta,sijui nizilete ,tatizo usafiri
Japo January imenipiga mueleka, nishaacha kununua nyanya zimepanda bei sana
Aisee..zitafutie soko huku mjini dar nyanya 1 200Nina nyanya Hapa za kujaza kenta,sijui nizilete ,tatizo usafiri
tumia nyanya chungu
Sikujua kama ukipika mseto wa dagaa na mboga za majani hususan tembele na uweke na karoti ni tamu balaa.
Au nyama na mnafu na karoti utaipenda.
Woiii nyanya nishaanza kusahau kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uswahili hamna mashamba hata ya garden mkuu, ni mwendo wa vichochoro tuMkuu ,Fanya mpango APO home Uwe na kitchengadern maana hali ya uchumi sio,ita serv pesa zako.
Ipoje hiyo bossMkuu ,Fanya mpango APO home Uwe na kitchengadern maana hali ya uchumi sio,ita serv pesa zako.