Tumeshajua Yanga mlikuwa mnatoa wapi fedha zenu

Tumeshajua Yanga mlikuwa mnatoa wapi fedha zenu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Japokuwa Yanga ni team yangu lakini kwa hili naomba niwe mkweli. Hao viongozi wetu waliokuwa wanamwaga mabilioni ya hela kwenye klabu kumbe zilikuwa za ufisadi!

Hela zinapigwa Serikalini halafu zinapitishwa kwa mlango wa nyuma kupitia team lengo ili tuwaone wanatoa misaada.

Hizi sio stori za mtaani ni vitu real vimetokea awamu hii hii ya tano wale waliotaka kukwapua Coco Beach yetu wote chalii.
 
Sasa si bora hata hao waliokuwa wanaisaidia timu yetu ya wananchi ili ifanye vizuri. Na nyinyi mbona mnazikwapua halafu hatujui mnakozipeleka!!
Nb: sijamtaja mtu tafadhali.
 
Back
Top Bottom