ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Japokuwa Yanga ni team yangu lakini kwa hili naomba niwe mkweli. Hao viongozi wetu waliokuwa wanamwaga mabilioni ya hela kwenye klabu kumbe zilikuwa za ufisadi!
Hela zinapigwa Serikalini halafu zinapitishwa kwa mlango wa nyuma kupitia team lengo ili tuwaone wanatoa misaada.
Hizi sio stori za mtaani ni vitu real vimetokea awamu hii hii ya tano wale waliotaka kukwapua Coco Beach yetu wote chalii.