Tumeshamaliza 'Kuwacheka' Yanga SC, sasa naomba Uongozi wa Simba SC ufuate haya Maelekezo yangu Muhimu kuelekea 23rd October Derby

Haya sasa na nyie mmepangiwa ihefu ya Tunisia
 
Kuna haja gani ya kufanya yote ayo na mnajinasibu mnayo timu bora baada ya kuwatoa Ihefu ya angola? Timu bora aihangaiki namna hii kwani si mnaenda kukutana na timu dhaifu iliyotolewa klabu bingwa?
Huna Akili Wewe yaani hujui / hujajua tu kuwa Simba SC na Yanga SC ni zaidi ya Vita katika Derby yao?

Fuatilia maandalizi ya Derbies za Al Ahly FC na Zamalek FC ( Egypt ), Kaizer Chiefs na Orlando Pirates FC ( South Africa ), Asante Kotoko FC na Hearts of Oaks FC ( Ghana ), Cotton Sports na Canon Yaunde ( Cameroon ), Sports Club Villa na Express ( Uganda ), Boca Juniors na River Plates ( Argentina ), AC Milan na Inter Milan ( Italy ), Bayern Munich na Borussia Dortmund ( Germany ) na Liverpool FC na Manchester United ( England ) kisha niambie huwa yanakuwa sawa wakiwa Wanacheza na Vilabu vingine?

Namalizia kwa kukuambia tuna huna Akili na umeanza Kuujua Mpira hivi karibuni ila wengine huu Mpira wa Tanzania ( Bongo ) tunaujua na tumeshashiriki mno katika Umafia ( Fitna ) zake mpaka hata Kuhatarisha haya Maisha yetu.
 
Sakho ni mchoyo na mpumbavu mno asicheze πŸƒβ€β™‚οΈ
Hakuna Mchezaji ninayemchukia kwa sasa ndani ya Simba SC kama Pape Ousmane Sakho na nisifiche hata Siku nikikutana nae Mubashara ni lazima tu nitamsemea Mbovu na ikibidi hata Kuzichapa nae kama atakuwa na huo Ubavu.

Amelewa mno na sana Sifa halafu hana Maajabu yoyote yale Uwanjani kana Wengine waliomzidi ila hawana Shobo, Sifa wala Ushamba ( Umbwiga ) kama alionao.

Ninatamani hata asiwe anapangwa.
 
Sema ninyi vibonde wa al hilal
 
Mzee wa fukunyuku, vipi Manula ataanza au Kama kawa kakolanya??
 
Mambo ya uchawi ni ya kipumbavu kabisa, yaachwe mara moja. Timu iandaliwe kisayansi. Mengine uachiwe uongozi na benchi la ufundi badala ya porojo mtandaoni.
 
Si ninewasikia baadhi ya mikia wakisema wao focus yao ni mechi za kimataifa tu? Sasa imekuwaje tena kinyeo kimeanza kupwita?
 
Wewe na Ihefu ya Angola nani ana record nzuri katika ngazi ya continental?πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†. Yani hata De Agosto ni wakubwa sana kwenu huko kimataifa, wewe hauko mbali sana na ZalanπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Si ninewasikia baadhi ya mikia wakisema wao focus yao ni mechi za kimataifa tu? Sasa imekuwaje tena kinyeo kimeanza kupwita?
Ukiskia focus maana yake, ilikuwa kuanzia usajili, sio kuwa hatutaki kuzifunga hizi timu ndogo za nyumbani, hizi second teams kama Yanga, Big Stars,KMC e.t.cπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Gentamycine ww ni genius ushauri ni huu lazima tuufikishe Kwa viongozi wetu hawa Uto ni mauza mauzo
 
Acha uoga wewe,na kwa mwendo huu gemu umepoteza kabla ya kuingia uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…